Kaloleni Pentekoste

SELI

Seli ni mkusanyiko mdogo wa waamini unaokutana mara moja kwa wiki kwa ajili ya mafundisho ya Biblia, Maombi na Shughuli za mambo ya Kijamii. 

Dhumuni la Seli
  • Husaidia ukuaji wa kiroho kwa waamini.
  • Ushirikiano wa Mambo ya Kijamii.
  • Ushudiaji wa Injili kwa eneo husika.
  • Kujifunza Biblia.
Idadi ya Seli Zilizopo

Ngaramtoni

Sakina

Mianzini

Ilboru

Sanawari

Sekei

Kimandolu

Ngulelo

Tengeru

Maji ya Chai

Kisongo

Majengo

Ngarenaro

Kaloleni

Moshono

Kijenge Mwanama

Njiro

Murieti

Morombo

Sinoni

Uswahilini

Sombetini

Mbauda

Olasiti

Njoo ujifunze neno la Mungu pamoja nasi

Tunaamini kwamba Yesu Kristo ndiye mwakilishi kamili wa Mungu: mwanadamu kamili na Mungu kamili. Hakufanya kosa wakati wa uhai Wake.