Kaloleni Pentekoste

HUDUMA YA NENO & MAOMBI

Disciple Nations Pentecost Church (DNPC) Kaloleni, Tuna huduma ya Neno na Maombi inayofanyika hapa kanisani kila siku ya Alhamisi saa 9-12 jioni na Jumamosi saa 2asubuhi hadi saa 8mchana. Karibu sana walete wagonjwa, wenye shida mbali mbali na wenye kusumbuliwa na nguvu za giza Mungu atawafungua.

Njoo ujifunze neno la Mungu pamoja nasi

Tunaamini kwamba Yesu Kristo ndiye mwakilishi kamili wa Mungu: mwanadamu kamili na Mungu kamili. Hakufanya kosa wakati wa uhai Wake.