Karibu kwenye madhabau ya shalom
DISCIPLE NATIONS PENTECOST CHURCH KALOLENI – ARUSHA
DNPC
"2025 HUU NI MWAKA WA
KUENDELEA KUWA NA NGUVU"
Neno la Mwaka 2025
"Kutoka 1:7"
Na wana wa Israeli walikuwa na uzazi sana, na kuongezeka mno, na kuzidi kuwa wengi, nao wakaendelea na kuongezeka nguvu; na ile nchi ilikuwa imejawa na wao.
"Zaburi 84:7"
Wanaendelea kupata nguvu zaidi na zaidi; watamwona Mungu wa miungu huko Siyoni.
Karibu katika Ibada zetu za Alhamisi, Jumamosi, na Jumapili
DNPC KALOLENI
Ratiba za Ibada
Jumatatu
SAA 12:00-1:00
MORNING GLORY PRAYERS
SAA 7:00-8:00 MCHANA
LUNCH HOUR MEETING
WANAWAKE
Jumanne
SAA 12:00-1:00
MORNING GLORY PRAYERS
SAA 7:00-8:00 MCHANA
LUNCH HOUR MEETING
IBADA ZA MITAANI/CELLS]
Jumatano
SAA 12:00-1:00
MORNING GLORY PRAYERS
SAA 7:00-8:00 MCHANA
LUNCH HOUR MEETING
SAA 10:30-12:00 JIONI
VIJANA
Alhamisi
SAA 12:00-1:00
MORNING GLORY PRAYERS
SAA 7:00-8:00 MCHANA
LUNCH HOUR MEETING
SAA 09:00-12:00 JOINI
MAOMBI NA MAOMBEZI
Ijumaa
SAA 12:00-1:00
MORNING GLORY PRAYERS
SAA 7:00-8:00 MCHANA
LUNCH HOUR MEETING
J' mosi
SAA 02:00-09:00 MCHANA
MAOMBI NA MAOMBEZI
Jumapili
SAA 01:00-03:00 ASUBUHI
IBADA YA KINGEREZA
SAA 03:00-04:00 ASUBUHI
MAFUNDISHO YA BIBLIA
SAA 4:00-7:00 MCHANA
IBADA YA KISWAHILI
tunachoamini
(Mwanzo 1:1, Nehemia 9:6, 1.Wakoritho 8:6, 1.Timotheo. 2:5)
kwamba Mungu alijifunua katika nafsi tatu ambazo ni Mungu Baba, Mwana na Roho Mtakatifu na ambaye peke yake anastahili heshima, utukufu, sifa na ibada kutoka kwa kila kiumbe milele na milele,
(Kutoka 20:2-5, Mathayo 3:16-17, 28:19, Ufunuo. 5:13)
kwamba Yesu Kristo ni mwana wa Mungu na pekee aliyekuwepo kabla ya kuumbwa kwa vitu vyote Neno la Mungu aliye hai, Mungu wa milele ambaye vitu vyote viliumbwa na yeye na kwa ajili yake,
(Yohana 1:1-3, 1.Wakoritho 1:16-17, Waebrania 1:3)
kwamba Yesu Kristo alikuja katika mwili, akakaa kwetu ili aweze kuleta ukombozi kwa wote wenye mwili na kuwapa wokovu kamili kutoka Dhambini,
(Yohana 1:14, 1Yohana 4:2, Waebrania 2:14-16)
kwamba Kristo Yesu alifanyika dhabihu kwa ajili ya ondoleo la dhambi kwa njia ya kifo chake msalabani, alizikwa na kufufuka siku ya tatu, na hivyo kupata heshima na sifa ya kuwa kuhani mkuu wetu wa milele na patanisho halali kati ya Mungu na wanadamu,
(1.Wakoritho 15:3-4, Waebrania 2:14, 10:10, 12:21)
Unaweza Weka Sadaka yako kupitia,
Akaunti ya Benki au kwa Vodacom Lipa Namba.
JINA LA AKAUNTI – DNPC KALOLENI
NAMBA YA AKAUNTI: 40810168762
JINA LA AKAUNTI : DNPC KALOLENI
NAMBA : 5128215